Serikali Yatoa Waraka MPYA wa kukariri darasa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini

Serikali imetoa waraka unaoelekeza utaratibu mpya wa kukariri darasa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kuanzia Januari mwakani.Waraka wa Elimu Namba 2 wa Mwaka 2018, kwa mujibu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, umetokana na kukithiri kwa malalamiko kutokea kwa wazazi na walezi wakilalamikia kutoshirikishwa ipasavyo katika kufanya uamuzi wa mwanafunzi kukariri. Pia kukosekana kwa uwazi na ushirikishwaji madhubuti kwenye maamuzi ya kukaririsha darasa wanafunzi.Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Kamishna wa Elimu katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Edicome Shirima, maombi ya kukariri...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 16 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News