Serikali yawapiga marufuku wachunguzi wa UN kuingia Burundi

Serikali ya Burundi imetangaza kwamba wachunguzi wa Umoja wa Mataifa walio chapisha hivi karibuni ripoti inayo wanyooshea vidole viongozi wa nchi hiyo, akiwemo Rais Pierre Nkurunziza, juu ya uchochezi wa uhalifu na vitendo vingine vya ukiukwaji wa haki za binadamu, wamepigwa marufuku kuingia Burundi....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News