Serikali yawasilisha hoja 10 mahakamani kuwapinga wapinzani

PATRICIA KIMELEMETA NA LEONARD MANG’OHA SERIKALI imewasilisha hoja 10 kesi ya kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa iliyofunguliwa na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake. Walalamikaji wengine katika kesi hiyo  ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Bara, Joran Bashange na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Umma (CUF), Salim Bimani. Shauri hilo linasikilizwa na Jaji Benhajo Masoud, huku upande wa walalamikaji wakiwakilishwa na Wakili Mpare Mpoki na upande wa Serikali ukiwakilishwa na Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo. Wakili Mulwambo alidai kuwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News