Serikali Yazishauri Benki Nchini Kushusha Riba Za Mikopo Kuchochea Uchumi Wa Viwanda

Benny Mwaipaja, WFM, DodomaNaibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amezitaka Benki nchini kushusha viwango vya riba za mikopo ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi wakiwemo wakulima kunufaika na huduma za kifedha zinazotolewa na taasisi hizo za fedha kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao.Dkt. Kijaji ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akifungua rasmi Tawi la Benki Azania, Sokoine, na kusisitiza kuwa Benki zina nafasi kubwa wa kuisaidia nchi kufikia azma yake ya kuwa ya viwanda ifikapo mwaka 2025 kwa kukuza mitaji na biashara za wananchi.Alisema kuwa hivi karibuni Serikali imechukua...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News