Shabiki wa Yanga aliye-bet mke amwaga machozi hadharani

Jamaa anaitwa Jimmy aliahdi kukaa uchi Kariakoo huku pia akiwa kaweka ahadi mkewake achukuliwe na shabiki wa Simba endapo Yanga itafungwa. Yanga imepasuka 1-0 mbele ya Mnyama, jamaa anamwaga chozi akifikiria ahadi zake. ...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Saturday, 16 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News