Shadya akemea ukatili dhidi ya wazee

Baadhi ya wazee wakiwa wameshikilia bango lenye ujumbe Zuia unyanyasaji dhidi ya wazee kwenye maandamano ya siku ya kujenga uelewa wa uwepo wa udhalilishwaji wa wazee Duniani Juni 15 iliyofanyika ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.Naibu Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Shadya Mohammed Suleiman akiwahutubia wazee katika siku ya kujenga uelewa wa uwepo wa udhalilishwaji wa wazee Duniani iliyoadhimishwa Juni 15 katika ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.Mkurugenzi, Kituo cha Msaada wa Kisheria na Kijamii kwa Wazee Zanzibar Maria Obel Malila akiwasilisha mada ya Udhalilishaji wa Wazee...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News