Shaffih Dauda atoa ya moyoni kuhusu nafasi ya uraisi wa Simba

Wakati habari ya raisi wa Simba Salim Abdallah kutogombea tena uongozi katika klabu hiyo zikiendelea kutawala, mchambuzi wa masuala ya soka Shaffih Dauda amesema haya kuhusu uamuzi wa Salim. “Salim Abdallah aliingia kukaimu nafasi ya urais wakati viongozi wa Simba wamepata matatizo kwa hiyo wakati akikaimu ndio ikaja hiyo hoja ya mabadiliko na yeye akapitisha mchakato wa mabadiliko ambalo ndio lilikuwa jukumu lake kuhakikisha anasimamia katika kipindi cha mpito cha mchakato hadi watakapofika kwenye kipindi cha uchaguzi ambapo nafasi ya kukaimu itakwisha. Sio hilo tu, wakati akikaimu Simba pia ilikuwa...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News