Shahidi ‘fundi magrili’ amng’ang’ania Mbowe, Matiko, Mdee kuhusika

LEO tarehe 14 Mei 2019, shahidi wa pili upande wa serikali kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, ametoa ushahidi wake. Jopo la mawakili wa serikali linaongozwa na Faraja Nchimbi, Wankyo Simon na Paul Kadushi. Huku upande wa utetezi ukiongozwa na Profesa Abdallah Safari, Peter Kibala na John Malya. Shahidi wa pili ni Shabani ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Tuesday, 14 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News