Shahidi abanwa, Dk. Mashinji augua ghafla kizimbani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahailisha usikilizaji wa ushahidi wa kesi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutokana na kuugua ghafla kwa Katibu Mkuu wa Chama hiko, Dk. Vincent Mashinji.  Anaripoti Faki Sosi … (endelea) Dk. Mashinji Katibu Mkuu ni mshtakiwa namba sita kwenye kesi hiyo namba 112 ya 2018, ya uchochezi. ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News