Shahidi aeleza bosi wake alivyoongozana na gari lenye shehena ya dhahabu

Koplo Meksela, shahidi wa nne katika kesi ya kusafirisha shehena ya dhahabu kilo 319 yenye thamani ya Sh27. 8 bilioni ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza jinsi alivyolifungulia geti gari iliyokuwa imebeba shehena hiyo lilipokuwa likiingia na kutoka katika kituo kikuu cha polisi Mwanza, likiongozwa na bosi wake....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 22 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News