Shahidi asema baadhi ya waandamanaji walificha sura zao

SHAHIDI wa tatu, katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wenzake nane, Koplo Rahim amedai baadhi ya waandamanaji walivaa mzula hawakuonekana nyuso zao. Amedai walikuwa wanarusha mawe na jiwe moja lilimpiga shingoni akapoteza fahamu na hakujua mahali ambako silaha yake aina ya SMG ilipo. Koplo Rahim amesema hayo leo asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akiongozwa na Wakili wa Serikali, Simon Wankyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thoma Simba. Amedai wanachama wa Chadema wakiongozwa na viongozi wao waliandamana kutoka viwanja vya buibui kuelekea kwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News