Shahidi kesi ya Mbowe: Nilipigwa jiwe, nikazimia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya uchochezi, inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Leo tarehe 15 Mei 2019, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, upande wa Jamhuri umewasilisha shahidi wake wa tatu. Wakili wa Jamhuri kwenye kesi hiyo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News