Shahidi: Malinzi aliikopesha TFF mamilioni

NA KULWA MZEE  ALIYEKUWA Mhasibu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Sereki Mesack, amedai mahakamani kwamba aliyekuwa Rais wa shirikisho hilo, Jamal Malinzi, alilikopesha mamilioni ya fedha. Sereki anadai haoni kama kuna tatizo katika stakabadhi zenye thamani ya Sh milioni 25 na Dola za Marekani 27,500, ambazo Jamal Malinzi, alilikopesha shirikisho hilo. Shahidi huyo wa tisa kwa upande wa Jamhuri alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, wakati akitoa ushahidi kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Shadrack Kimaro. Akiongozwa na Wakili...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Wednesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News