Shahidi: Nampenda Zitto, namwamini

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam SHAHIDI wa Jamhuri Mashaka Duma katika kesi ya uchochezi inayomkabili, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amedai yeye ni shabiki mzuri wa mwanasiasa huyo,  anampenda, anaposikia sauti yake anafurahi na anafurahi anapomwona kwenye Televisheni. Duma amedai alipomsikia Zitto, akizungumzia mauaji ya Kigoma Uvinza aliamini na kuwachukia Polisi. Aliyasema hayo leo asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi. Akiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Tumaini Kweka shahidi alidai roho yake imetulia baada kutoa hisia zake mahakamani kwamba analichukia...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News