Shahidi: Sina mahaba na Mbowe

SHABANI Hassani  Shahidi kwenye kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameweka wazi kuwa hana mahaba na Freeman Mbowe. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Freeman Mbowe mshitakiwa namba moja kwenye kesi hiyo ni mwenyekiti wa Chadema Taifa. Wengine wanaokabiliwa na kesi hiyo ni pamoja na Dk. Vincent ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News