Shangwe, vilio vyatawala matokeo ya uchaguzi DRC

KINSHASA, DRC WAKATI maelfu ya wafuasi wa Rais mteule, Felix Tshisekedi, wakiendelea kushangilia ushindi wao kwa nderemo na vifijo, hali kwa upande mwingine wa kambi zilizoshindwa si nzuri huku baadhi ya watu wakipoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Hali hiyo imetokea saa chache baada ya Tume ya Uchaguzi nchini DRC (CENI), kumtangaza Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini humo. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari kutoka vyombo vya dola nchini humo, baadhi ya maeneo yamekumbwa na machafuko ambayo yamesababisha watu 11 kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa. Idhaa ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News