Sheikh Dodoma ataka asilaumiwe mtu ajali Morogoro

Ramadhan Hassan, Dodoma Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu amewaomba Watanzania kuwaombea waliofariki na majeruhi wa ajali ya moto ilivyotokea mkoani Morogoro juzi Jumamosi Agosti 10. Aidha, amesema hakuna wa kulaumiwa kutokana na tukio hilo ambapo watu zaidi ya 65 na walifariki dunia. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 12, katika Ibada ya Iddi El Hajj iliyofanyika katika Msikiti wa Gaddaf Jijini hapa, Sheikh Rajabu amesema hakuna wa kumlaumu katika ajali hiyo kwani kila mmoja Mwenyezi Mungu amempanguia namna ambavyo atafariki. “Kutokana na ile ajali nani wa kulaumiwa, hakuna wa kulaumiwa, hatupaswi...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News