Shukrani kocha Amunike, naona ameanza kutuelewa

DAKIKA 90 za kwanza za Emmanuel Amunike kama kocha wa Taifa Stars zilimalizika Kampala Uganda juzi Jumamosi jioni na kuwaacha wenyeji wasijue kilichowapata. Walitarajia ushindi wakaishia kupata suluhu wasiyoitarajia. Ni kwa sababu ya Amunike....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News