Shule 10 za MWISHO Matokeo ya Kidato cha Sita 2019

Shule ya Sekondari ya Nyamunga ya mkoani Mara imeshika namba moja kati ya shule 10 zilizofanya vibaya kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018.Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Julai 11, 2019 na katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde.Katika orodha hiyo kuna shule nne za Mjini Magharibi  visiwani Zanzibar ambazo ni Kiembesamaki A Islamic, Mpendae, Tumekuja na Haile Selassie.==>>Hizi ni Shule 10 za Mwisho Kitaifa1.    Nyamunga, Mara.2.    Haile Salassie Mjini Maghari.3.    Tumekuja,mjini Magharib4.    Bumaangi,mara5.    Butuli,mara6.    Mpendae, Mjini Magharib7.    Eckernford, Tanga.8.    Msimbo, Katavi.9.    Mondo, Dodoma.10....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News