Shule binafsi zapigwa marufuku kufukuza wanafunzi wasiolipa ada

Leo Alhamisi, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amezungumza na waandishi wa habari na kupiga marufuku shule binafsi zinazowarejesha nyumbani wanafunzi ambao hawajamaliza ada au michango...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 10 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News