Shule iliyokuwa ya tisa kutoka mwisho imefungiwa kuchukua wanafunzi

Shule ya Sekondari ya Mondo ambayo imeshika nafasi ya tisa katika shule 10 za mwisho kwenye matokeo ya mitihani ya kitaifa ya kidato cha Sita, imefungiwa kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu baada ya kubainika ina upungufu katika miundombinu yake....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News