Simba, Js Saoura kesho hapatoshi makocha watunishiana misuli

LULU RINGO, DAR ES SALAAM Kuelekea mchezo wa hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba SC na Js Saoura ya nchini Algeria, mchezo utakaochezwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam makocha wa timu zote mbili wamejitamba kuibuka na ushindi katika mchezo huo. Makocha hao wamezungumza na waandishi wa habari leo Jabuari 11, kila mmoja amejitamba kushinda mchezo huo. Kocha wa magolikipa wa Simba SC, Mwarami Mohamed amesema licha ya nchi ya Algeria kuwa katika kiwango bora cha soka barani Afrika dhumuni kubwa ni kuhakikisha wanashinda...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News