Simba mmemsikia Tambwe

NA ZAINAB IDDY WAKATI Wanamsimbazi wakiwa meno nje baada ya ushindi mnono wa jumla ya mabao 8-1 walioupata katika mechi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya Mbabane Swallows, mshambuliji wa Yanga, Amissi Tambwe, amewaambia si wakati sahihi wa kutabasamu kwao. Simba imepata ushindi huo mnono kwenye mechi zake mbili za Ligi ya Mabingwa, mchezo wa kwanza walicheza jijini Dar es Salaam na kushinda 4-1 kabla ya juzi kupata tena ushindi wa bao 4-0 Swaziland. Matokeo hayo ya Simba yanawapa nafasi ya kusonga mbele na huenda wakakutana na timu...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Wednesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News