Simba msikieni Kashasha

TIMA SIKILO MCHAMBUZI wa soka nchini, Alex Kashasha, amesema benchi la ufundi la Simba limelamba dume katika usajili waliofanya, hasa kwa kuwanasa Sharaf Shiboub na Deo Kanda. Akizungumza na BINGWA juzi, Kashasha alisema kwa jinsi alivyokiona kikosi cha Simba, kipo kamili kwani hata pengo la wachezaji nyota walioachwa, halionekani. Alisema pamoja na wachezaji kutozoeana, lakini wanacheza mpira unaoeleweka katika dakika zote ambazo wanakuwa uwanjani. “Kama hii timu itaendelea hivi kwenye michezo yao yote, kazi itakuwepo katika ligi na hata kwenye hiyo michezo yao ya kimataifa. “Kulikuwa na malalamiko makubwa kwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News