SIMBA POWER

Viongozi, wazee, mashabiki waungana kuimaliza AS Vita Sasa Msimbazi nguvu moja, wachezaji washindwe wenyewe NA ZAITUNI KIBWANA KATIKA kuhakikisha wanaibuka na ushindi dhidi ya AS Vita ya DR Congo na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, viongozi wa Simba, matawi na wanachama wamekutana katika kikao maalumu kujadili ni vipi wanaweza kuwachapa wapinzani wao hao. Simba inavaana na AS Vita katika mchezo huo wa mwisho wa hatua ya makundi, Wekundu wa Msimbazi hao wakiwa Kundi D, utakaopigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kikao hicho kilifanyika...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News