Simba wapewa nondo kuiua Nkana

NA ZAINAB IDDY BAADA ya kufanya vizuri katika mechi za hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba imepewa siri za kuwakabili wapinzani wao wajao, Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa raundi ya kwanza ya michuano hiyo. Simba SC imesonga mbele kwa ushindi wa jumla ya mabao 8-1, ikishinda mabao 4-1 jijini Dar es Salaam na mabao 4-0 ugenini Jumanne ya wiki hii. Mechi ya kwanza dhidi ya Nkana itafanyika mjini Kitwe kati ya Desemba 14 na 16, wakati marudiano yatakuwa kati ya Desemba 21 na 23...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News