SIMBA WATUA MTWARA; KAGERE, OKWI NDANI

NA WINFRIDA MTOI   KIKOSI cha Simba kimewasili mjini Mtwara jana tayari kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda FC ya huko, unaotarajiwa kupigwa kesho kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona. Simba waliondoka jana asubuhi kwa kutumia usafiri wa ndege, huku kikosi chao kikiwa na wachezaji 20, wakiwamo straika wao hatari, Emmanuel Okwi na Meddie Kagere. Wachezaji nane wa timu hiyo wameachwa Dar es Salaam kuendelea na mazoezi chini ya Kocha Msaidizi, Masoud Djuma. Mbali ya Okwi na Kagere, nyota wengine wa kutumainiwa Simba waliopo Mtwara na...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News