Simba yajipigia tu waarabu taifa

Simba imeibuka na pointi tatu kwa mara nyingine dhidi ya waarabu uwanja wa taifa kwenye michuano ya Caf Champions League hatua ya makundi. Waarabu wa kwanza kuchezea kichapo cha Simba walikuwa JS Saoura kutoka Algeria ambao walichapwa 3-0 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi. Simba sasa imefikisha pointi sita (6) kwenye Kundi C ikiwa nyuma kwa pointi moja dhidi ya Al Ahly ambayo inaongoza kundi hilo kabla ya mchezo wa Saoura vs AS Vita. Simba imejiweka sehemu nzuri ya kufuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Tuesday, 12 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News