Simba, Yanga kukipiga Karume Jumapili

LULU RINGO, DAR ES SALAAM Ligi ya wanawake Tanzania Bara Jumapili Januari 13, itaandika historia ya kwanza toka kuanzishwa kwake, ambapo watani wa jadi Simba Queens na Yanga Princess watachuana. Yanga Princess ndiye mwenyeji wa mchezo huo utakaochezwa Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam ambapo mwenyekiti wa Ligi hiyo, Amina Karuma amesema kila Mtazamaji atakayefika kutazama mtanange huo atatozwa shilingi 2,000. “Tumeanza ligi kwa kasi kwa sasa tunacheza nyumbani na ugenini hii ni hatua kubwa kwetu, Jumapili Tanzania itaandika historia katika ligi hii, watani wa jadi Simba na Yanga...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News