SIMBA YAPEWA MIDO HATARI

NA WINFRIDA MTOI KLABU ya Simba, imepewa mchongo wa kuhakikisha inamnasa kiungo fundi wa AFC Leopard ya Kenya, Whyvonne Isuza, anayetajwa kuwa moto wa kuotea mbali katika kulisakata kabumbu. Kiungo huyo anaelezewa kuwa uwezo mkubwa wa kupiga pasi maridadi za ‘rula’, kutoa pasi za mabao, huku pia akiwa ni hodari wa kukaba na kutibua mipango ya timu pinzani kusaka mabao. Kutokana na sifa za kiungo huyo, ni wazi iwapo atapangwa pamoja na fundi Clatous Chama na straika hatari wa Simba, Meddie Kagere, msimu ujao wa 2019/20 utaendelea kuwa wa kicheko...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News