Simba Yatoa Nafasi Nne CAF....Tanzania sasa Kupeleka timu mbili katika Klabu Bingwa Afrika na timu mbili katika Kombe la Shirikisho 2020/2021

Kufuatia kufanya vizuri msimu huu katika michuano ya Klabu Bingwa Africa, klabu ya Simba imeipatia Tanzania nafasi nne za kushiriki michuano ya vilabu inayoandaliwa na Shirikisho la Soka barani Afrika msimu wa mwaka 2020.  Simba imefikia hatua ya robo fainali ya michuano hiyo kabla ya kuondolewa na TP Mazembe, ambapo imefikisha jumla ya pointi 18 na kuisaidia Tanzania kupanda hadi nafasi ya 12 ya ubora wa vilabu barani Afrika. Pointi tatu kati ya hizo 18 zikitokana na Yanga kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho katika mwaka 2016 na...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News