Sipendi na Nimechoka haya Makalio Makubwa!.. Aeleza kwa Uchungu Mrembo Kim Kardashian

Mwanamitindo Kim Kardashian  ameushangaza ulimwengu baada ya kudai kuwa hapendi kabisa muonekano wake wa sasa unaomuonesha ana makalio makubwa kiasi kwamba analia kila siku yapungue.Akiongea kwenye episode ya  Keeping Up With the Kardashians ya Jumapili illiyopita, dada yake Kourtney alitoa maoni yake kuwa kwa sasa Kim anaonekana makalio yake yameongezeka ukubwa “Kim, naona kwa sasa kila picha unayopiga ukiwa umekaa unaonekana makalio yako yameongezeka ukubwa!,” alihoji Kourtney.Hata hivyo, mama yao Kristen alionekana kukerwa na maoni hayo ambapo alimwambia  Kourtney kuwa amekosea kwa kumtolea kauli hiyo kwani Kim mwenyewe anapenda kuwa...

read more...

Share |

Published By: Sporti TV - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News