Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Yafanya Sherehe za Maghafali ya 12 ya Kidatu cha Sita Mjini Zanzibar.

Mgeni Rasmin Shamaame Shamata akimkabidhi Cheti Mwanafunzi bora aliyefaulu Masomo yote Skuli ya Tumekuja Yussuf Salum Khamis (Kulia) ni Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Tumekuja Khamis Mngwali Mshenga.Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  Zanzibar Mh. Shaame Shamata Khamis amewtaka wanafunzi waliyohitimu  masomo yao kutojiingiza katika makundi maovu na kushughulikia kazi zitakazowaletea maendeleo katika maisha yao.Ameyasema hayo katika Maaghafali ya 12 baada ya kuwakabidhi zawadi wahitimu wa  kidato Sita huko  Skuli ya Tumekuja iliyopo Mjini Zanzibar.Ameseama  ni vyema wahitimu...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News