Spika: Hawa ndio mawaziri, wabunge vinara kwa utoro bungeni

Na Fredy Azzah -Dodoma   SPIKA wa Bunge Job Ndugai, amesema Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustine Mahiga, ndio vinara wa utoro katika vikao vya Bunge. Ndugai alisema mahudhurio ya wabunge hao yamechukuliwa kutoka katika vikao vya kamati za Bunge 33 ambavyo vilikaa Machi, Agosti na Oktoba na vikao 61 vya mkutano wa 11 wa Bunge la Bajeti na tisa vya Bunge la 12. Alisema taarifa hiyo aliyoitoa bungeni jana, siyo ya kisiasa kwa sababu mahudhurio...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News