Spika Ndugai amewataka wabunge wampuuze na wamsamehe Masele

Na Ramadhan Hassan, Dodoma Spika wa Bunge, Job Ndugai ameliomba Bunge limsamehe na kumpuuza Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele ambaye anatuhumiwa kwa kutokuwa na nidhamu kwa kuichonganisha Serikali na Bunge. Spika Ndugai aliitaka Kamati ya Haki, Madaraka na Maadili Jumatatu, Mei 20, kumhoji Mbunge huyo na leo Mei 23, kamati hiyo imetoa taarifa ya kumsamehe mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu. “Bunge katika uendeshwaji wake ni lazima tuangalie vikao vingine vya bunge vilivyopita, mambo yaliyotokea na kwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 23 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News