Spika Ndugai Aruhusu hotuba za Kambi rasmi za Upinzani Bungeni Zisomwe Kama Zilivyo

Spika wa Bunge, Job Ndugai ameruhusu kuanza kusomwa kwa hotuba za Kambi rasmi za Upinzani Bungeni  bila kuhaririwa kufuatia kambi hizo kugoma  kusoma hotuba zao mara mbili mfululizo  kwa kile kilichoelezwa waandaji kuwa wamekuwa wakitumia maneno ambayo yanaonekana kuwa na ukakasi.  Maamuzi hayo ya Spika yamekuja ikiwa ni siku chache baada ya wasemaji wa Kambi hizo  kugoma kusoma hotuba zao mara mbili mfululilo katika Wizara za Habari pamoja na Mambo ya Ndani kupitia Wabunge, Joseph Mbilinyi pamoja na Mchungaji Petter Msigwa.Akizungumza wakati wa muendelezo wa vikao vya Bunge jijini Dodoma,...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 25 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News