Spika Ndugai Awataka Wabunge CCM, Mawaziri Waitumie Mitandao ya Kijamii Kupangua Hoja za Wapinzani

Spika wa Bunge, Job Ndugai  amekerwa na wabunge wa CCM na Mawaziri kutotumia mitandao ya kijamii kupeleka majibu na ufafanuzi wa Serikali kwa wananchi kama wafanyavyo wapinzani.Ndugai alieleza hisia zake  jana Septemba 10, 2018 akisema wabunge wa upinzani wamekuwa wajanja katika kutumia mitandao ya kijamii ambayo inasomwa dunia nzima na hivyo kuwaaminisha watu.Alitoa kauli hiyo wakati Bunge likipitisha muswada wa sheria wa marekebisho ya sheria mbalimbali namba 3 wa 2018."Kuna katabia kamezuka humu, wabunge wanaishambulia Serikali lakini inapokuja muda wa kujibu wanakuwa hawapo, lakini wanakuwa wameshashinda maana wanakuwa wametuma kwenye...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News