Spika Ndugai azungumzia Tundu Lissu kutolipwa mshahara

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema hajapata taarifa yeyote juu ya kuzuiliwa kwa mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, huku akimtaka Mbunge huyo kuandika barua kwa ofisi ya Spika juu ya madai yake.  Spika Ndugai ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na EATV  juu ya kauli yake dhidi ya madai ya Mbunge Tundu Lissu ambaye amelalamikia kusitishwa kwa mshahara wake.Ndugai amesema "kiukweli sijasikia lolote lakini hayo madai ya mshahara alimwandikia Spika barua kwamba hakupata mshahara wake na akajibiwa ni kwanini hakupewa mshahara wake?"."Bunge linataratibu kwani hata wewe ukiwa hujapata...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News