Spika Ndugai, Majaliwa kuipa mzuka Stars huko Misri

Wiki tatu na ushei kabla ya kuanza kwa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2019 kuanza, Spika Job Ndugai na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wameahidi kwenda kuwapa mzuka Taifa Stars katika mashindano Afcon itakayofanyika Misri....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Wednesday, 22 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News