SPIKA NDUGAI, WABUNGE WASHEREHEKEA UBINGWA WA SIMBA

NA RAMADHAN HASSAN,  DODOMA SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, jana aliongoza wabunge kushangilia ubingwa wa Simba baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu bungeni. Simba walifanikiwa kutetea ubingwa wao baada ya kuifunga mabao 2-0 Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Namfua, mkoani Singida. Baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu bungeni, Spika Ndugai alisema; Ligi imeisha wale ambao wanaendelea kutafuta ubingwa na waendelee.”  “Jamani Ligi Kuu inaendelea, wale ambao bado wanaendelea kutafuta ubingwa waendelee, ligi bado haijaisha.”  Spika Ndugai...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 23 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News