Spika wa Bunge Job Ndugai Awapiga Marufuku Wabunge Kuingia Bungeni na Kucha Bandia au Kope Bandia

Spika wa Bunge, Job Ndugai, leo septemba 10, 2018  amepiga marufuku wabunge waliobandika kucha na kope bandia kuingia katika Ukumbi wa Bunge.Spika Ndugai amesema hayo wakati wa kipindi cha maswali na majibu, baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Fatma Tawfiq kuhoji idadi ya wanawake walioathirika macho kutokana na matumizi ya kope bandia kwani baadhi ya wanawake wameathirika na vipodozi vikiwamo kucha za na kope za kubandika.Swali hilo lilijibiwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Faustine Ndugulile  ambapo amesema Takribani wagonjwa 700 kwa mwaka hupokelewa katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MHN),...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News