SPURS YAWAWEKEA NGUMU MASHABIKI MAN CITY

 LONDON, England   TIMU ya Tottenham Hotspur, inaripotiwa kuweka ngumu kuwalipia gharama mashabiki wa  Manchester City za kwenda kushuhudia mechi yao ijayo ya Ligi Kuu England. The Lilywhites wamepewa kibali cha kutumia Uwanja wa Wembley kwa ajili ya mechi hiyo ambayo itapigwa Oktoba  29, mwaka huu, baada ya uwanja wake mpya kushindwa kukamilika kwa wakati. Kutokana na hali hiyo, uongozi wa Man City unataka fidia kwa ajili ya tiketi za mabasi na za  treni ambazo zimeshakatwa na mashabiki kwa ajili ya kwenda kushuhudia mechi hiyo  kama ingepigwa katika uwanja mpya...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News