Sugu ataka viongozi wapimwe akili

      FREDY AZZAH-DODOMA MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi  (Chadema), maarufu kwa jina la Sugu, ametaka viongozi wote nchini kuanzia ngazi ya kijiji, wapimwe akili. Pia, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche (Chadema), amesema mawaziri wanaosema umasikini ni uzalendo, wanaishi kwenye nyumba nzuri na kutembelea mashangingi ya Serikali. Sugu na Heche, walisema hayo   Dodoma jana wakati wakichangia mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa na mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya mwaka 2019/20. Jana, baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu, mchangiaji wa kwanza...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News