Sugu atangaza dau nono la Mil. 1 kwa Mtanzania yeyote atakayemfanikishia jambo hili

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu ametangaza dau la Tsh Milioni  1 kwa mtu yeyote atakayempatia picha yake akiwa amevalia sare za Gerezani kipindi alivyokuwa amefungwa.Sugu ametoa tangazo hilo kwenye ukurasa wake wa Instagram, ambapo ameeleza kuwa lengo kubwa la picha hiyo ni kutumika kama Cover ya kitabu chake kipya cha ‘SIASA NA MAISHA’ . View this post on Instagram Real talk... #JONGWE #MVMP #PoliticalPrisonerNo219 #JongweMisutiA post shared by Joseph Mbilinyi (@mh_sugu) on Oct 19, 2018 at 8:56am PDT...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 21 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News