SUMAYE ALIA MAISHA KUZIDI KUWA MAGUMU

NA KULWA MZEE,DAR ES SALAAM Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hali ya maisha nchini imezidi kuwa duni kutokana na kukosekana ushindani sawa wa kisiasa. Sumaye alisema hayo juzi wakati wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa Ukonga kupitia Chadema, Asiah Msangi. Alisema kuna ulazima wa kupigania demokrasia ya kweli kwani hakuna mahali kusiko na ushindani maisha yakawa mazuri. “Lazima tupiganie demokrasia ya kweli, vyama vingine vya siasa viwe na nafasi sawa na CCM ili ushindani uwepo. “Nilitoka CCM kwa ajili ya Watanzania masikini, tufike mahali vyama vishindane sio vikandamizane,”...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News