Tahadhari Ya Kimbunga Yatolewa Mtwara...Wafanyakazi Na Wanafunzi Waagizwa Kusalia Majumbani.

Na Bakari Chijumba, Mtwara.Kufuatia Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania(TMA),kutoa angalizo la uwezekano wa kutokea Kimbunga katika  pwani ya kusini mwa Tanzania kesho Alhamisi  25/04/2019, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa ameagiza watumishi wote wasiende makazini kesho,pia wanafunzi ngazi zote wasiende mashuleni na vyuoni.Bakyanwa amesema taarifa zinaonesha kuanzia asubuhi saa mbili hadi tatu zitaanza mvua za kawaida,ila baadae utafuata upepo mkali,radi na mvua kubwa zinazoweza sababisha Mafuriko na kimbunga na kwamba  licha ya kwamba ni utabiri lazima tahadhari ichukuliwe."Tumepata angalizo la kutokea Kimbunga..Kamati ya usalama wa mkoa tumekubaliana,kesho watu...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News