Taifa Stars yatema watatu wa kimataifa

TIMU ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), inayoshiriki kwa mara kwanza michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika, inayotarajiwa kuanza tarehe 22 Juni mwaka huu, nchini Misri, imewaondoa katika kikosi chake wachezaji wake tisa, wakiwamo watatu wa kimataifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Misri … (endelea). Taarifa zinasema, benchi la ufundi la Taifa Stars lilipokuwa likitoa orodha ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News