Taifa Stars yaungwa mkono kila kona

NA GLORY MLAY WADAU mbalimbali wa michezo wamejitokeza kuunga mkono timu ya Taifa Stars ambayo ipo nchini Misri kujianda na michuano ya AFCON itakayoanza Ijumaa ijayo.  Taifa Stars chini ya kocha mkuu Emmanuel Amunike, imepangwa Kundi C pamoja na Algeria, Senegal na Harambee Stars ya Kenya.  Akizungumza na BINGWA jana, nahodha wa Kagera Sugar, George Kavila, aliweka imani yake na kikosi cha timu ya taifa kilichochaguliwa akisisitiza kitaiwakilisha nchi vyema. Kavila alisema Watanzania wanatakiwa kumuunga mkono kocha Amunike kwa kazi kubwa aliyoifanya tangu mwanzo hadi kufikia hatua hiyo. Alisema Mnigeria...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News