Tanzania Kukaribisha Wawekezaji wa Nje Kutumia Fursa Ziliopo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sif Ali Iddi akiingia kwenye Ukumbi wa Mikutano ndani ya Viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya 15 ya Biashara Mjini Nanning Guanxi Nchini China kuzungumza na Wawekezaji na Wafanyabishara wa Taifa hilo.Balozi Seif akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Wawekezaji na Wafanyabiashara ulioandaliwa na Tanzania kwa ajili ya kutangaza  fursa za vivutio ilivyonavyo ndani ya  Sekta ya Uwekezaji katika Maonyesho ya Biashara ya 15 ya Biashara yanayoendelea kwenye Mji wa Nanning Jimboni Guangxi Nchini China.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanda Tanzania {...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News