Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa nchi Wanachama wa SADC....RC Makonda Apewa Maagizo Mazito

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametakiwa na Waziri wa Mambo ya  Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki,  Profesa Palamagamba Kabudi kuzitafuta na  kuzitambua nyumba na ofisi zote zilizotumiwa na wapigania uhuru katika nchi mbalimbali za Afrika zilizopo Tanzania.Profesa Kabudi ametoa agizo hilo leo, wakati akizungumza na wamiliki na wakuu wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.“Wakuu wa nchi 16 watahudhuria mkutano huu na kuleta  ombi maalumu kufanya kumbukizi ya Nyerere watakapokuwa. Hii ni fursa kwetu kuweka kumbukumbu na ku identify (kutambua) maneno yote ambao wapigania...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News